Kozi za Muda Mfupi Kituo cha Mwanza
Kituo cha elimu kwa njia ya mtandao (Center for Virtual Learning) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawatangazia nafasi za masomo ya muda mfupi yatakayotolewa kituo cha MWANZA. Mafunzo ya tatolewa kwa Nadharia na Vitendo, njia ya nadharia itatolewa kwa Mtandao (Online) na njia ya vitendo itatolewa Darasani (face to face)
SN |
Course Name |
Price |
Duration |
Start Date |
End Date |
Contact |
1 |
Graphics Design |
500,000/= |
1 Month |
3/10/2022 |
03/11/2022 |
0715-677873 |
2 |
Qualitative Data Analysis with NVIVO |
500,000/= |
1 Month |
3/10/2022 |
03/11/2022 |
0716-747679 |
3 |
Web designing with Joomla |
650,000/= |
1 Month |
03/10/2022 |
03/11/2022 |
0754-471705 |
4 |
Quantitative Data Analysis with SPSS |
400,000/= |
3 weeks |
7/11/2022 |
25/11/2022 |
0715-008408 |
5 |
Structure Questioning Modeling (SEM) with SmartPLS |
300,000/= |
2 weeks |
28/11/2022 |
09/12/2022 |
0715-008408 |
6 |
Video and Audio Editing with Adobe Premiere Pro |
650,000/= |
1 Month |
28/11/2022 |
23/12/2022 |
0754-471705 |
7 |
Web designing with WordPress |
650,000/= |
1 Month |
09/01/2023 |
09/02/2023 |
0754-471705 |
Note
Huduma ya usafiri itatolewa BURE utaanzia Kona ya Butimba (Nyamagana Hospitali) na utaondoka saa 2.30 Asubuhi na baada ya mafunzo kutoka Kituo cha Mafunzo hadi Kona ya Butimba (Nyamagana Hospitali)
Maelezo Zaidi wasiliana
Branch Manager
Nyegezi Fisheries Avenue,
Mobile: +255 713 255 909
EMail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Kwa Usajili tembele: Click this Link to Access Registration Form