Kozi za Muda Mfupi Kituo cha Mwanza

Kituo cha elimu kwa njia ya mtandao (Center for Virtual Learning) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawatangazia nafasi za masomo ya muda mfupi yatakayotolewa kituo cha MWANZA. Mafunzo ya tatolewa kwa Nadharia na Vitendo, njia ya nadharia itatolewa kwa Mtandao (Online) na njia ya vitendo itatolewa Darasani (face to face)

SN

Course Name

Price

Duration

Start Date

End Date

Contact

1

Graphics Design

500,000/=

1 Month

3/10/2022

03/11/2022

0715-677873

2

Qualitative Data Analysis with NVIVO

500,000/=

1 Month

3/10/2022

03/11/2022

0716-747679

3

Web designing with Joomla

650,000/=

1 Month

03/10/2022

03/11/2022

0754-471705

4

Quantitative Data Analysis with SPSS

400,000/=

3 weeks

7/11/2022

25/11/2022

0715-008408

5

Structure Questioning Modeling (SEM) with SmartPLS

300,000/=

2 weeks

28/11/2022

09/12/2022

0715-008408

6

Video and Audio Editing with Adobe Premiere Pro

650,000/=

1 Month

28/11/2022

23/12/2022

0754-471705

7

Web designing with WordPress

650,000/=

1 Month

09/01/2023

09/02/2023

0754-471705

Note

Huduma ya usafiri itatolewa BURE utaanzia Kona ya Butimba (Nyamagana Hospitali) na utaondoka saa 2.30 Asubuhi na baada ya mafunzo kutoka Kituo cha Mafunzo hadi Kona ya Butimba (Nyamagana Hospitali)

Maelezo Zaidi wasiliana

Branch Manager
Nyegezi Fisheries Avenue,
Mobile: +255 713 255 909
EMail: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Kwa Usajili tembeleClick this Link to Access Registration Form